2. KUTAMBUA WITO ULIOITIWA | Mwl. Isaac Javan
Автор: Isaac Javan
Загружено: 2022-11-28
Просмотров: 2198
Hili ni somo muhimu linalolenga kukusaidia kutambua wito wako. Watu wengi katika dunia hii hawajui wito wao ni nini. Si hivyo tu, lakini pia watu wengi hawajui kwa nini wapo duniani, na hawajui ni kwa nini walizaliwa.
Mungu anafanya mambo yote kwa sababu maalum. Hujaja hapa duniani kwa bahati mbaya. Mungu alikuleta hapa duniani kwa sababu maalum. Unaposikiliza na kujifunza somo hili, utapata majibu ya maswali ya maisha yako. Utajua ni kwa nini Mungu amekuleta duniani, na utajua ni kitu gani Mungu alikuumbia kukifanya hapa duniani.
Nakuombea, somo hili lifanyike msaada na baraka kwenye maisha yako. Mungu akubariki sana. Amen!
Isaac Javan
Phone | +255 745 76 45 72
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: