MAAJABU!: PANGA Lilivyotumika Kuokoa Watu Wanne Ajali Ya Haice Tarime
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-11-28
Просмотров: 6180
MAAJABU!: PANGA Lilivyotumika Kuokoa Watu Wanne Ajali Ya Haice Tarime
Msamaria mwema aliyejitokeza kuokoa majeruhi wanne katika ajali ya Hiance kugongana uso kwa uso na kisha kuungua moto wilayani Tarime mkoani Mara na kusababisha vifo vya watu 16 amesimulia
Nyangi Nyabora anasema siku ya tukio alikuwa shabani akipalilia lakn mvua ilianza kunyesha ambapo aliamua kujikinga katika mti uliopo shambani kwake lakini ghafla alisikia mlio mkubwa alivyoangalia barabarani aliona moto unawake kwenye gari ikabidi akibie kwenye tukio.
#AJALITARIME
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: