TOXIC - JINAI
Автор: Toxic Fuvu
Загружено: 2021-12-06
Просмотров: 84812
JINAI LYRICS VERSE 01
Sikuwazaga Hata siku Moja Maisha Yake Ningeyakatisha......
Kwajinsi tulipendana Hatukuhitaji Hata Kuficha.....
Ila Chanzo Cha Huu Mkasa Mwenzangu alibadilika........
Leo nimemfyatua Risasi na Imemzama kwenye Kichwa........
Mtaniita Muuaji, Wengine Mtoa Kafara.....
Hela nshatuma Sana za Kutolea Na Nauli Kala......
Yote Tisa Siwazi....
Kumi Nimemfuma na Picha za Utupu za Yule ileyentamburisha kuwa ndo Baba yake mzazi.....
Me ndo nlikuwa Kama BUM mpaka chuo Anamaliza......
Me Nalala njaa ili Avimbe na Awale kuku kwa mlija....
Nnajiuliza Huyu Mwanamke? Ama kitunguu kila siku tu ananliza.....
Huenda nngeendelea Kumwacha angenmaliza.....
Leo sihitaji wanasheria wala msisumbue Majaji......
Hivi nnakesi au nimesaidia Taifa kumuua Mdangaji......
Aliomba Tungane na Aliahidi kitutenganishe Kifo.....
So sizani kama mi nnamakosa Kumpiga Pistol.....
(Sound Effects)
JINAI LYRICS VERSE 02
MaAskari Musimpime Fingerprint............
Me ndo nimeua huyu binti........
Kwasabu sikuwa na Jinsi..........
Kunamademu ndo wanaofanya si Manigger hatuendelei.........
Me ntamani hata huu Mwili niutupe kwenye ufukwe ule wa Beach ya Ostabey.........
Contact zake Kwenye Simu, zimejaa Uhasi.......
Juma bingwa wa Mikasi......
Ommy Mapafu ya Farasi.....
Hana gari ila ana namba hadi ya Traffic..............
Jiulizeni Alikuwa na Mchumba ama anavyumba vya Draft............
Kwangu Maisha ameyacost
Sukari ya Maboss..........
Naogopa hata kuupima UKIMWI huenda ikawa Positive...........
And Mostly...........
akaniaminisha anamsimamo wa Mwanamke anayejitambua Kwengine akifika Kumbe So cheap....
Kama Huna Wivu na Huyajui Mapenzi You can never Understand Me............
Aliniona Fala nlipolia kuwa Bila yeye I can't live.........
Na ka Wanikamata kwa Kosa la Kumuua Niacheni..........
Labda kwa Kosa la Kutumia Bunduki Haina Leseni......
(SOUND EFFECTS)
××××××× END×××××
Produced by T3pro
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: