Misioni CHUNYA” | Watumishi wa KKKT Wasimulia Miujiza:Maelfu Waokoka,Vilinge vya Uchawi Vyalipuliwa!
Автор: ENEZA TV
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 225
Huduma ya Uinjilisti Jimbo la Chunya maeneo ya Misioni iliyoandaliwa na Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini, mwezi Julai, imeacha alama ya kihistoria! Watumishi wa MUNGU wasimulia namna maelfu walivyokoka, wagonjwa wakaponywa, na nguvu za giza zikashindwa.
Tazama ushuhuda huu wa kipekee — MUNGU bado anatenda kazi kwa nguvu na rehema zake!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: