Watano mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke Mara
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-22
Просмотров: 1865
Watu watano wamekamatwa na polisi mkoani Mara kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Monica Patrick (31) ambaye mwili wake uliokotwa ziwani katika eneo la Makoko mtaa wa Nyang'wena manispaa ya Musoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: