Shule ya Mungu - God’s Special School ( New Series : Utambulisho)
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-05-06
Просмотров: 126
Karibu Binti Sayuni 50 kwa mfululizo wetu mpya wa “Shule Maalum ya Mungu ” (God’s Special School ) “ - safari ya kipekee ambayo kila aliyeokoka lazima apitie ili kufanana na Kristo. Katika mfululizo huu, tutajifunza masomo muhimu ambayo kila Mkristo lazima ajifunze na kupita ili kukua kiroho na kuimarishwa kiroho kama vile imani, ujasiri, ukarimu, uvumilivu, upendo, na mengine mengi.
Leo tunaanza kwa utangulizi wa safari hii ya kipekee. Usikose wiki ijayo tunapoanza rasmi na kipindi cha kwanza cha somo letu la kwanza!
Jiunge nami, subscribe, shiriki video hii, na acha maoni yako ili tuweze kujifunza na kukua pamoja katika Kristo.
#nenolamungu
#thewordofgod
#christianfaith
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: