Makongo Sekondari 'yafunika' michuano ya shule za jeshi, yachukua makombe matatu
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-09-15
Просмотров: 2312
Michezo ya shule zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imehitimishwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam huku Makongo Sekondari wakiibuka mabingwa kwenye michezo ya mpira wa miguu, kikapu na riadha. Kwa upande wa mpira wa pete ubingwa umekwenda kwa Kizuka Sekondari ya Morogoro.
#AzamTVApp #AzamTV #AzamSports2
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: