Enyi Wakristu wapenzi By Jacob M. Urassa
Автор: Kaimbe Swahili Catholic songs
Загружено: 2023-10-19
Просмотров: 12695
0:00 Sauti Zote
1:05 Shairi
2:29 Sauti ya Kwanza
3:25 Sauti ya Pili
4:22 Sauti ya Tatu
5:18 Sauti ya Nne
Kiitikio
Enyi Wakristu wapenzi njoni Bwana anatualika kwenye karamu. Kwanza ndugu tazama meza yake inavyopendeza, Bwana na wateule wameizunguka meza yake. Haya ndugu simama nawe ushiriki.
Mashairi.
1. Njoni Bwana atuita meza yake sasa i tayari, haya simama, nenda nawe ushiriki.
2. Kama wewe wastahili, fanya hima ukampokee, ndicho chakula, chenye uzima milele.
3. Yeye anilaye mimi, atakuwa na uzima mpya, siku ya mwisho mimi nitamfufua.
4. Yeye katuandalia, masikini pia matajiri, ukarimu gani Bwana Yesu alio nao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: