Hii ndio faida ya kuishi pamoja na Mungu. Hadithi ya kijana aliyeendesha gari kwenye mvua kubwa
Автор: 7T7 MINISTRY
Загружено: 2022-12-10
Просмотров: 475
Biblia katika kitabu cha Zaburi 23 fungu la 4 inasema “Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.”
Sio kwamba watu wa Mungu hawapitii katika vipindi vigumu vya maisha. La hasha! Lakini katika vipindi hivyo viguumu yupo baba yao pembeni pamoja nao. Kazi yake ni kuwafariji ili wasije wakapotea katika dhoruba.
Endelea kumshikilia huyu baba. Endelea kumsikiliza huyu baba. Maana ndiye mwenye hekima yote, uwezo wote na uzoefu wote. Nakuhakikishia kuwa, ukimsikiliza, kamwe hutapotea kwenye dhoruba.
Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na Bible quizes za kiingereza
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: