7T7 MINISTRY

7t7 Ministries ni taasisi ya kidini ya kibinafsi iliyoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza injili kupitia Mitandao ya kijamii katika kizazi hiki cha teknolojia.


Maono: Kugusa kila nafsi katika mitandao ya kijamii na kuwaelekeza kwa Yesu


Dhamira: Tunatumia rasilimali tulizobarikiwa na Mungu kwa wakati huu ili kugusa binadamu na kuwaongoza vyema hadi Kalvari kwa kueneza injili kwenye mitandao ya kijamii na kugusa mahitaji ya kiroho kwa Kila mtumiaji wa mitandao ya kijamii.