Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIHUBIRI KATIKA MSIBA | Mbarikiwa Mwakipesile

Автор: Kikosi kazi cha injili🎖

Загружено: 2022-08-27

Просмотров: 13842

Описание:

MUNGU UTAKAYEMWABUDU KWA RAHA KWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NI YULE ALIYEKUSAIDIA KULIKO MATARAJIO /MAOMBI YAKO. (EFESO 3:20, 2 PET 1:3-4, EFESO 1:9-10)

Kwa Mungu aina hiyo kila saa na kila siku utatamani uende kumtumikia, kumwomba na kumwabudu hekaluni. Yaani haiwezi pita siku moja bila kuingia hekaluni. (ZABURI 122,1, 84:1-10, 27:4-5)

Kwa Mungu wa aina hiyo utatoa mali zako zaidi ya uhitaji (KUTOKA 36:3-7, 1 NYAKATI 29:9-12)

#JUMAPILI ZILIZOPITA TULIJIFUNZA :-
Fanyia kazi makosa yako ili usidharaulike, usichezewe/kuumizwa hovyo/kirahisi na watu, magonjwa ya pumu, #moyo kutanuka, #kutumia miwani, vidonda vya tumbo, wachawi, mapepo nk. (1 Timo 4:12)

Yaani kukutwa na magumu ambayo huoni njia yoyote, mtu yoyote au Mungu atakayekusaidia kwa namna yoyote.

Hatumwabudu Mungu anayeweka sawa kila kitu, bali anayetaka tuweke sawa maeneo yenye UTATA KWA MSAADA WAKE (ZABURI 108:13, ISAYA 40:1-5).

MTU ANAYETOKA KATIKA IBADA SAHIHI HAOGOPI TATIZO, BALI HULIFWATA KWAKUWA NDIO KIPIMO CHA IMANI..

Mwaka 2022 ni mwaka wa kwenda kwa utakatifu, kufanya mambo kwa namna iliyotakiwa kufanya, kufanikisha mambo kwenye mazingira magumu.

Mwaka 2022 kikosi kazi tunakwenda kupanda mambo kwenye mawe na miamba migumu na mazao yataota na tuta yapalilia na kuvuna mazao yaliyo bora.

#Mbarikiwa #Mwakipesile akieleza sababu kwanini watu wengi watakubali

MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIHUBIRI KATIKA MSIBA | Mbarikiwa Mwakipesile

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Mch.Mbarikiwa Mwakipesile akihubiri kwa njia ya mtandao | Ibada ya jumatano | 02-12-2025

Mch.Mbarikiwa Mwakipesile akihubiri kwa njia ya mtandao | Ibada ya jumatano | 02-12-2025

Bibi wa taifa afichua makubwa kuhusiana na

Bibi wa taifa afichua makubwa kuhusiana na "ANDREW NYERERE" kumbe alikuwa pilot wa ndege za kivita

Kikwete: Raisi kivuli anayemuongoza samia kuihujumu Tanzania.

Kikwete: Raisi kivuli anayemuongoza samia kuihujumu Tanzania.

DIRECTEUR Wafashwe ku Myanya y'Ibanga n'Umugore Turaganiriye ATWIHERA UKURI🔥 IYUMVIRE IBYAMUBAYEHO

DIRECTEUR Wafashwe ku Myanya y'Ibanga n'Umugore Turaganiriye ATWIHERA UKURI🔥 IYUMVIRE IBYAMUBAYEHO

LENGO KUU LA IBADA ZOTE NI HELA; KINACHOVUTA WATU KANISANI NI MIUJIZA YA KIUCHUMI.

LENGO KUU LA IBADA ZOTE NI HELA; KINACHOVUTA WATU KANISANI NI MIUJIZA YA KIUCHUMI.

DUH HOTUBA YA RAIS YAIBUA BALAA JINGINE DKT SLAA ATOA KAULI NZITO AWAVAA WAZEE WALIOLIPWA PESA

DUH HOTUBA YA RAIS YAIBUA BALAA JINGINE DKT SLAA ATOA KAULI NZITO AWAVAA WAZEE WALIOLIPWA PESA

Kataa huyu sio wewe?MBARIKIWA aweka ushahidi  wa video za CHRISTINA SHUSH chanzo cha KUMUACHA MUMEO

Kataa huyu sio wewe?MBARIKIWA aweka ushahidi wa video za CHRISTINA SHUSH chanzo cha KUMUACHA MUMEO

Папа Римский Посетил Армянскую Церковь в Турции

Папа Римский Посетил Армянскую Церковь в Турции

SAMIA ASHAMBULIWA NA GENZ BAADAYA HOTUBA YA JANA

SAMIA ASHAMBULIWA NA GENZ BAADAYA HOTUBA YA JANA

Mbarikiwa akiongea msibani| Mbarikiwa Mwakipesile

Mbarikiwa akiongea msibani| Mbarikiwa Mwakipesile

HOTUBA YA SAMIA YAWAAMUSHA UPYA DIASPORA,WATOA TATHIMINI NA UCHAMBUZI WA HOTUBA YA SAMIA LEO D2

HOTUBA YA SAMIA YAWAAMUSHA UPYA DIASPORA,WATOA TATHIMINI NA UCHAMBUZI WA HOTUBA YA SAMIA LEO D2

Kijana wa Mbarikiwa apatikana akiwa hai. Aachiwe na polisi Dodoma. Mbarikiwa alipuka.

Kijana wa Mbarikiwa apatikana akiwa hai. Aachiwe na polisi Dodoma. Mbarikiwa alipuka.

Mbarikiwa Amuwakia Christina Shusho

Mbarikiwa Amuwakia Christina Shusho "Huo Ni Umalaya...."

KIMENUKA!: ASKOFU BAGONZA AIJIBU HUTOBA YA RAIS SAMIA TUNAOSHAURI KWA NIA NJEMA TUMEITWA NI MAKAFIRI

KIMENUKA!: ASKOFU BAGONZA AIJIBU HUTOBA YA RAIS SAMIA TUNAOSHAURI KWA NIA NJEMA TUMEITWA NI MAKAFIRI

🔴Humphrey Polepole Kuachiliwa Huru Kesho Asubuhi, Jeshi la Polisi Lapewa Masaa 24 kumfichua alipo

🔴Humphrey Polepole Kuachiliwa Huru Kesho Asubuhi, Jeshi la Polisi Lapewa Masaa 24 kumfichua alipo

HAMASIKA NA SAFARI YA KIMAISHA YA MHE.LUSINDE KUTOKA ULINZI MPAKA UBUNGE PART.A

HAMASIKA NA SAFARI YA KIMAISHA YA MHE.LUSINDE KUTOKA ULINZI MPAKA UBUNGE PART.A

KIMEUMANA! CHADEMA WAPATA USHINDI MNONO, MNYIKA ATEMA CHECHE WALIOFUNGUA KESI, AIVAA SERIKALI

KIMEUMANA! CHADEMA WAPATA USHINDI MNONO, MNYIKA ATEMA CHECHE WALIOFUNGUA KESI, AIVAA SERIKALI

FATHER Kitima Amvua Nguo  Rais Samia Suluhu. Mange Kimambi Asema Hivi!

FATHER Kitima Amvua Nguo Rais Samia Suluhu. Mange Kimambi Asema Hivi!

DUUUUU INAUMA!!!! MBARIKIWA AIBUSU PICHA YA MWANAE KIPENZI KWA MAUMIVU MAKALI.........

DUUUUU INAUMA!!!! MBARIKIWA AIBUSU PICHA YA MWANAE KIPENZI KWA MAUMIVU MAKALI.........

HECHE AELEZA HATUA ZA HARAKA ZICHUKULIWE TUNATAKA MABADILIKO KWENYE NCHI HII

HECHE AELEZA HATUA ZA HARAKA ZICHUKULIWE TUNATAKA MABADILIKO KWENYE NCHI HII

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]