DW Kiswahili Habari za Ulimwengu Leo | Aprili 10, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-04-10
Просмотров: 3475
Kwenye Habari Za Ulimwengu Leo Jioni tunaangazia kufikishwa mahakamani kwa Tundu Lissu (kiongozi wa upinzani Tanzania) huko Kisutu || Wapalestina wapatao 23 wauawa katika mashambulizi ya Israel || Rais Donald Trump asitisha kwa siku 90 agizo la kuzitoza ushuru baadhi ya bidhaa kutoka kwenye nchi kadhaa duniani || Visa vya dhulma dhidi ya watoto vyaongezeka nchini Kenya. Tuandikie Maoni Yako.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: