A-Z Rais Magufuli Alivyokutana na Viongozi wa Dini - Ikulu
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-01-22
Просмотров: 24040
Rais Magufuli Akutana na Viongozi wa Dini - Ikulu
Leo Januari 23, 2019 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amekutana na viongozi wa dini zote Ikulu jijini Dar es salaam na kuwaomba kuhakikisha maadili ya Tanzania yanalindwa kwa nguvu zote.
Akizungumza katika mkutano huo Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Magufuli amewahakikishia viongozi hao wa dini kuwa serikali itafanya kila kinachowezekana kutatua changamoto wanazokumbana nazo.
#LIVE_Rais_Magufuli_Katika_Mkutano_na_Viongozi_wa_Dini
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter
www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: