Jinsi Ya Kupika Mikate Ya Chila Laini
Автор: Farhat Yummy
Загружено: 2018-05-18
Просмотров: 125408
Vipimo:
1 kilo mchele, mchele wowote mkubwa utafaa kwajili ya kusaga, mchele wa Basmati ausagi vizuri
3/4 Nazi ya cream
About 2 and 1/2 to 3 vikombe vya maji ya moto {Kwajili ya kuyayusha nazi }
1 na 1/2 kikombe sukari
1 sachet {7g} na 1 kijiko cha chai instant yeast
1/2 kijiko cha chai hiliki
Mafuta ya kupikia
Link to Mikate Ya Chila Recipe --- http://www.farhatyummy.com/african-di...
My website http://www.farhatyummy.com
Instangram / farhatyummy
Facebook / farhat-yummy-food-208790805988110
Twitter / farhatyummy
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: