Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-12-07

Просмотров: 339763

Описание:

Juma Masanja ambaye ni mume wa Mery Nassoro, amesema amesikitishwa na kifo cha mke wake kilichotokea Desemba 5, 2024, akiwa chumbani na mwanajeshi mstaafu, Petro Masali. Masanja, ambaye amekuwa na Mery kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufunga ndoa rasmi mwaka mmoja uliopita, amesema hakuwahi kuhisi kama mkewe alikuwa na uhusiano wa nje ya ndoa.

“Katika maisha yetu yote pamoja, sijawahi kushuhudia wala kuhisi dalili zozote za mke wangu kuchepuka. Kitendo hiki kimenishtua sana,” alisema Masanja leo Desemba 7, 2024, wakati akizungumza na Mwananchi.
Mwili wa Mery Nassoro umezikwa leo katika makaburi ya Kanisa Katoliki Ipuli, Manispaa ya Tabora, huku mwili wa Petro Masali ukisafirishwa hadi wilayani Nzega kwa mazishi.

Tukio hilo limeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia na jamii ya Tabora, huku wengi wakisubiri taarifa rasmi kuhusu kilichosababisha vifo vyao.

Video na Johnson James

MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

USIYOYAJUA KUHUSU MDEE/ MTATA TOKA UTOTONI ALIYEPIGISHWA MAGOTI NA DC, AKAVUNJWA MKONO NA MAGEREZA

BILIONEA MAARUFU MBEYA ASIMULIA KWA UCHUNGU UTAJIRI WA MANYOKA ULIVYOMTESA HADI KUFIRISIKA/NAJUTA

MPANGAJI WA CHUMBA CHA JIRANI ATEMBEA NA MUME WA MWENZAKE /SMS ZAFUMWA LIVE

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.

Wananchi wa Mbarali Mbeya waipongeza Serikali kwa Kudhibiti kweleakwelea

RC TABORA AAGIZA KUKAMATWA KWA WATUMISHI 3 NA MMILIKI WA ZAHANATI YA HOSSIANA KWA KULAZA WAGONJWA

NILIIANGAMIZA FAMILIA YANGU ILI NITAJILIKE LAKINI NIMEFILISIKA KABISA

FULL VICHEKESHO MTANGA & BAMBO NA KINGWENDU utacheka ufe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

Российские войска ползут по траве и взрывают колонну батальона армии США

IGP ashindwa kujizuia APIGA SIMU, tatu nzito za RPC Shinyanga zitakutoa machozi

INATISHA! Baada ya Kutoka Jela, Rama Mla Watu Afunguka Jinsi Alivyokamatwa Akila Kichwa cha Mtoto

KIJANA ALIYEUA MPOTEZA MAMA YAKE ADILIKI KUSEMA UKWELI WA MAISHA ANAYOPITIA SASA #truestory

Mfungwa Huyu Aliwezaje Kutoroka Gereza Linalolindwa Zaidi MAREKANI? Visa na Mipango Yake Ni Balaa!

Austack “Kadogoo” Mushi Aililia Serikali imsaidie Baada ya Kuvamiwa na Kupoteza Kila Kitu

RISASI NA MABOMU YARINDIMA JARIBIO LA UTEKAJI MSAFARA WA RC TABORA, Tazama kilichotokea #Taifasalama

NABII TANZANIA MPYA INAINGIA JANUARY 2026

ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI

DEREVA BODA BODA ALIYE OKOTA MAMILION YA PESA, ABILIA ALISAHAU MFUKO WA PESA

Mtoto Mdogo Amliza RC Makonda, Alinivua Nguo Zote Akavua na Yeye Akanishika Akani...

ALIYEKUWA FREEMASON NA KANUMBA ATOA SIRI NZITO AMTAJA DIAMOND PLATNUMZ

ALIYEKUWA FREEMASON NA KANUMBA ATOA SIRI NZITO AMTAJA DIAMOND PLATNUMZ "KAMA NITAKUFA BASI" NDO M..

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]