MABADILIKO MAPYA TANZANIA! UJENZI WA CHUO CHA VETA BIHARAMULO, GEITA
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2025-05-05
Просмотров: 161
Baada ya Serikali kuhamasisha vijana waliomaliza vyuo kurudi vyuo vya Veta kwa ajili ya kusomea mafunzo ya ufundi serikali wilayani Biharamulo wilayani Geita imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari 30 kwa ajili ya ujenzi wa chuo hicho.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: