Kundi la nne lenye kaya 36 laondoka Hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-07-08
Просмотров: 3659
Kundi la nne lenye kaya 36 zenye watu Zaidi ya 160 waliojiandikisha kwa hiyari kutoka eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya #Ngorongoro limeondoka leo kuelekea Kijiji cha Msomera kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Kundi hilo lijumuisha viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini pamoja na wakazi wengine waliokuwa wakiishi ndani ya eneo la mamlaka hiyo.
#AzamTVUpdates #AzamNews #Ngorongoro #Loliondo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: