Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2023-05-15

Просмотров: 10013

Описание:

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na vitasa imara na magolkipa wazuri tu lakini nna uhakika kila mmoja kati yao ana la kusema kuhusu winga na forward hii machachari ambayo nchi yetu ishawahi kuona. Hakuna kitasa ambacho hakijawahi kukataa kufungua mlango muda ambao Mrisho Ngassa alikua anakuja kupiga hodi.
Uzuri wake alianza kucheza mapema sana na kwasababu alikua machachari basi hata utulivu kidogo wakati anakua ulikua sio mzuri sana maana alikua na haraka. Ananiambia kwenye session hii vile ambavyo ali sign Yanga pasi na kumskiliza kocha wake kutoka Mwanza ambaye alikua anaamini kama dogo bado hajaiva, Pengine miaka miwili au mitatu ya kuendelea kujijenga ingemfanya awe bora zaidi na zaidi lakini kwenye kichwa na fikra za kijana huyu ambaye alikua na uchu wa mafanikio na kutaka kufika mjini maongezi hayo ya kusubiri yalikua ni kama kumuona sisimizi kwenye sukari alafu unamuambia asile leo badala yake ataila asubuhi, isingewezekana. Hivyo kocha akaona basi si mbaya, aende akayaone na kujifunza akiwa kazini.
Yanga ndo Yanga, kwa wachezaji wote wanao chipukia au ambao ndo wanatafuta maisha kuichezea klabu kama ya wananchi ni heshima kubwa sana na zaidi kama wao ndo wametaka iwe hivyo. Kwa kijana mdogo ambaye alikua na spidi na uchu mkubwa wa kuzitia nyavuni basi klabuni pale ndo ilikua steji muafaka ya kuonyesha kipaji chake. Mrisho anakumbuka aina ya ‘vifaa’ ambavyo vilikua vinapatikana mitaa ya Jangwani. Majina makubwa na kazi ilotukuka ambayo walikua wakiifanya ilikua inajielezea. Kwa kijana kutoka mkoani kuweza kupata namba haikua kazi rahisi, ila pia haikua kazi ngumu maana ulichokisia ndo ambacho unakiona, kuanzia mazoezini mpaka anapopatiwa nafasi wakati wa mechi.
Kwenye episode hii tunazungumzia aina ya mitihani na maamuzi ambayo ilikua inabidi yafanyike. Kwenye wasifu wake Mrisho amewahi kucheza kwenye team zote tatu kubwa hapa nyumbani kwetu. Kashawahi kuwa muajiriwa wa Yanga, Azam na Simba ambapo alienda kwa mkopo kutoka Azam FC, lakini pia ashawahi kupatiwa majaribio katika team kadhaa nje ya nchi yetu na wakubwa wanasema kama Ndugu yetu angekua katuliza akili na angefahamu aina ya nafasi ambayo alikua nayo kipindi kile basi yeye ndo angekua mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi pendwa ya Uingereza. Trials kwenye klabu kama Westham alipata na ofa kwenye vilabu kadhaa kutoka hapa hapa barani Afrika nazo zilikua hazikati.
Sasa, nini haswa kilitokea? Wapi hasa alienda mrama? Ni kweli alikosea? Au malengo yake si malengo yetu? Au tulipokua tunamuona sisi yeye alikua hapaoni huko? Vikwazo vilikua nini? Mambo yepi hasa ndo ambayo yanaweza yakawa ndo chachu ya hayo yote kutotokea? Kama Mrisho angekua anawez kufunguka zaidi nami kwenye episode hii naamini tungeweza kupata funzo lilonyooka kwa wenetu na ukichukulia sasa mambo ndo yameanza kufunguka. Naamini angekua mwalimu mzuri kwa wake wote ambao wangetaka kusoma somo ambalo lina uhitaji mkubwa.
Yangu matumaini utaweza kuelewa na kupata chochote kitu kutoka kwenye maongezi haya.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.


Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

array(10) { [0]=> object(stdClass)#5337 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "0hUGG9nxc5I" ["related_video_title"]=> string(88) "Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460" ["posted_time"]=> string(21) "2 года назад" ["channelName"]=> string(12) "YahStoneTown" } [1]=> object(stdClass)#5310 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "xpROyvZ5bdo" ["related_video_title"]=> string(87) "Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460" ["posted_time"]=> string(19) "1 год назад" ["channelName"]=> string(12) "YahStoneTown" } [2]=> object(stdClass)#5335 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "DmLFlYoix70" ["related_video_title"]=> string(70) "GASHAGWA UKIPATIKANA KWA MATANGA YA OJWANG UTATOKA MBIO UJAWAHI KIMBIA" ["posted_time"]=> string(23) "8 часов назад" ["channelName"]=> string(12) "TIGER JOE TV" } [3]=> object(stdClass)#5342 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "qM58O6-V-Jw" ["related_video_title"]=> string(86) "BWEGE AFICHUA MAZITO UKIMYA WA MBOWE, HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE VYAMA | UBUNGE UNA HELA" ["posted_time"]=> string(21) "5 дней назад" ["channelName"]=> string(15) "EastAfricaRadio" } [4]=> object(stdClass)#5321 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "6USYTb_AME8" ["related_video_title"]=> string(82) "SIMBA HAWAITAKI TENA DERBY? KIMYA KIMETAWALA SANA KWAO , YANGA NI YOWEE TU KWAO..." ["posted_time"]=> string(24) "19 часов назад" ["channelName"]=> string(14) "Data Sports Tv" } [5]=> object(stdClass)#5339 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "UHFW_Ig2tZg" ["related_video_title"]=> string(80) "KABLA YA UPENDO INAANZA THAMANI | MCHUNGAJI HANANJA NDANI YA LOVE CLINIC💝🩺" ["posted_time"]=> string(19) "1 год назад" ["channelName"]=> string(13) "Dr.Nellypoppa" } [6]=> object(stdClass)#5334 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "f4SnC2kAuWk" ["related_video_title"]=> string(93) "🔴#LIVE_ WAZEE WA GWAJIMA WAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KANISA LAO KUFUNGWA ! ATUMA MAOMBI HAYA" ["posted_time"]=> string(21) "2 часа назад" ["channelName"]=> string(9) "Mavala Tv" } [7]=> object(stdClass)#5344 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "H42zWaD4A4s" ["related_video_title"]=> string(104) "Самая опасная тюрьма в мире: CECOT (Здесь содержатся Демоны)" ["posted_time"]=> string(25) "4 месяца назад" ["channelName"]=> string(11) "Ruhi Çenet" } [8]=> object(stdClass)#5320 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "60lr0MfNU4o" ["related_video_title"]=> string(71) "PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 102 | Love Story #love" ["posted_time"]=> string(21) "3 часа назад" ["channelName"]=> string(8) "DONTA TV" } [9]=> object(stdClass)#5338 (5) { ["video_id"]=> int(9999999) ["related_video_id"]=> string(11) "0_h6STdNPHI" ["related_video_title"]=> string(126) "⚡️ Гиперзвуковой удар Ирана по Израилю || Президент пошёл на уступки" ["posted_time"]=> string(24) "11 часов назад" ["channelName"]=> string(23) "Время Прядко" } }
Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MRISHO NGASSA SE6 EP67 MACHACHARI… PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MFAUME MFAUME SE6 EP74| TOE - TO - TOE PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

GASHAGWA UKIPATIKANA KWA MATANGA YA OJWANG UTATOKA MBIO UJAWAHI KIMBIA

GASHAGWA UKIPATIKANA KWA MATANGA YA OJWANG UTATOKA MBIO UJAWAHI KIMBIA

BWEGE AFICHUA MAZITO UKIMYA WA MBOWE, HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE VYAMA | UBUNGE UNA HELA

BWEGE AFICHUA MAZITO UKIMYA WA MBOWE, HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE VYAMA | UBUNGE UNA HELA

SIMBA HAWAITAKI TENA DERBY? KIMYA KIMETAWALA SANA KWAO , YANGA NI YOWEE TU KWAO...

SIMBA HAWAITAKI TENA DERBY? KIMYA KIMETAWALA SANA KWAO , YANGA NI YOWEE TU KWAO...

KABLA YA UPENDO INAANZA THAMANI | MCHUNGAJI HANANJA NDANI YA LOVE CLINIC💝🩺

KABLA YA UPENDO INAANZA THAMANI | MCHUNGAJI HANANJA NDANI YA LOVE CLINIC💝🩺

🔴#LIVE_ WAZEE WA GWAJIMA WAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KANISA LAO KUFUNGWA ! ATUMA MAOMBI HAYA

🔴#LIVE_ WAZEE WA GWAJIMA WAFUNGUKA MAZITO BAADA YA KANISA LAO KUFUNGWA ! ATUMA MAOMBI HAYA

Самая опасная тюрьма в мире: CECOT (Здесь содержатся Демоны)

Самая опасная тюрьма в мире: CECOT (Здесь содержатся Демоны)

PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 102 | Love Story #love

PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 102 | Love Story #love

⚡️ Гиперзвуковой удар Ирана по Израилю || Президент пошёл на уступки

⚡️ Гиперзвуковой удар Ирана по Израилю || Президент пошёл на уступки

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]