Watu 12 waliokamatwa kwa mauaji Kilifi wafikishwa kizimbani
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-07-12
Просмотров: 4764
Mahakama ya Shanzu huko msa imeagiza kuendelea kuzuiliwa kwa washukiwa 12 wanaotuhumiwa kwa mauwaji ya watu watatu katika eneo la Junju kaunti ya Kilifi. Washukiwa sasa watasalia korokoroni kwa muda wa siku tano ili kuwawezesha maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: