Jubilee ya Askofu Dr. Fredrick Simon | Miaka 50 ya Huduma kwa Mungu
Автор: PCCT ONLINE TV
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 245
Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kusherehekea Jubilee ya Askofu Dr. Fredrick Simon kwa kutimiza miaka 50 ya huduma kwa Mungu na kanisa. Katika video hii, wachungaji na waumini mbalimbali wanashiriki maneno ya shukrani, heshima na ushuhuda wao juu ya maisha na huduma ya Askofu.
🙏 Miaka 50 ya huduma si jambo dogo – ni ushuhuda wa uaminifu wa Mungu!
Jubilee ya Askofu Dr. Fredrick Simon | Miaka 50 ya Huduma kwa Mungu
#Jubilee #AskofuDrFredrickSimon #Miaka50YaHuduma #Ushuhuda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: