KUFURU JAMANI!! UZURI WA MAJENGO HAYA MAPYA YA KISASA HOSPITALI YA RUFAA NJOMBE YANAVUTIA HATARI
Автор: ICON TV TZ
Загружено: 2023-03-01
Просмотров: 1305
Serikali imekamilisha ujenzi wa majengo ya kisasa pamoja na kuanza kufunga vifaa vya kisasa vya huduma za magonjwa ya dharula pamoja na ajali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe kwa ghalama ya shilingi Bilioni 3.8 fedha ambayo ni ya miradi ya kuboresha afya kupitia mkopo wa IMF kwa ajili ya kupambana na UVIKO - 19.
Dkt.Godlove Mbwanji ni mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya fufaa ya kanda ya mbeya,kwa niaba katibu mkuu wizara ya afya amesema wananchi wa mkoa wa Njombe wanatarajia kuanza kupata huduma za kibingwa kwa kuwa utekelezaji wa miradi umekamilika kwa 100%
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: