Ibada ya kwanza ya Mchungaji Venitha
Автор: ELCT-KARAGWE DIOCESE
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 702
Ibada hii imefanyika nyumbani kwao mtaa wa Ilemba Usharika wa Mazinga Jimbo la Bweranyange Dayosisi ya Karagwe. Mchungaji Venitha Nyangoma Sylvery ni mmoja wa wachungaji watano waliobarikiwa mwaka huu na leo ilikuwa Ibada yake ya kwanza akiwa mchungaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: