MABORESHO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA PWANI
Автор: Wizara ya Afya Tanzania
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 360
Fuatilia makala maalum ya maboresho yaliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi) katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika kipindi cha miaka minne Serikali imeiwezesha Hospitali kuimarisha ubora wa huduma zikiwemo huduma za kibingwa na ubingwa bobezi, upatikanaji wa dawa, vifaa na vifaa tiba, uimarishwaji wa miundombinu, rasilimali watu pamoja na huduma za rufaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: