MABORESHO SEKTA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA AMANA
Автор: Wizara ya Afya Tanzania
Загружено: 2025-08-18
Просмотров: 146
Hii ni makala maalum inayoelezea maboresho yaliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Amana katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika kipindi cha miaka minne Serikali imeiwezesha Hospitali hii kuimarisha ubora wa huduma zikiwemo huduma za kibingwa na ubingwa bobezi, upatikanaji wa dawa, vifaa na vifaa tiba, uimarishwaji wa miundombinu na kuongezeka kwa rasilimali watu hivyo kupunguza rufaa ya wagonjwa kwenda Hospitali nyingine ikiwemo Muhimbili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: