MABORESHO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA
Автор: Wizara ya Afya Tanzania
Загружено: 2025-08-31
Просмотров: 137
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma ndani ya Kipindi cha Miaka 4 ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni moja ya Hospitali iliyopiga hatua kwenye kila eneo, yakiwemo; Uimarishaji wa Majengo, Upatikanaji wa Dawa, Ajira Mpya, Ongezeko la Vipimo vya Maabara hata kupata Ithibati, Mashine za uchunguzi wa magonjwa ya binadamu kama CT-SCAN, Digital EX-RAY, Vipimo vilivyopewa Rufaa ya Kanda sasa Vinafanyika SONGEA RRH.
Karibu Katika Makala hii maalum ya Mafanikio
SONGEA, TUMEPIGA HATUA, TUMESOGEA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: