TUSITUMIE RUSHWA KWENYE UCHAGUZI - MKIMBIZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2025
Автор: TAKUKURU TV
Загружено: 2025-09-28
Просмотров: 136
Mkimbiza mwenge wa Uhuru 2025 Bi. Elizabeth Makingi amewataka wananchi na wagombea kutotumia rushwa hususani kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kiongozi huyo ametoa rai hiyo Septemba 28,2025 Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wakati akitoa ujumbe wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025 katika uwanja wa Mkesha wa Mwenge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: