Changamoto Za Elimu Ya Bure Zambia - BBC Swahili
Автор: Hassan Lali
Загружено: 2024-07-16
Просмотров: 33
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Umoja wa mataifa linalowashughulikia watoto UNICEF. Watoto tisa kati ya kumi walio na umri wa chini ya miaka kumi, bado wanakabiliwa na changamoto za kusoma na kuelewa maandishi. Zambia imetumia mamilioni ya dola za Kimarekani kuwasajili walimu wapya na kufanya elimu ya msingi na upili kuwa bure. Lakini sera hiyo kwa upande mwingine, imezusha changamoto kama anavyo arifu Leila Mohammed.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: