Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?.

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2022-03-21

Просмотров: 34859

Описание:

JE CHOO CHEUSI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO HUSABABISHWA NA NINI?
Kwa kawaida rangi ya Choo cha Mwanadamu huwa na rangi ya kahaiwa (Brown), lakini baadhi ya sababu huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito, Choo cheusi kwa Mjamzito huweza kuashiria magonjwa mbalimbali ya mfumo wa chakula au hali ya mabadiliko ya kifiziolojia ya kawaida.

MAMBO YANAYOPELEKEA CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO

1. Matumizi ya Dawa za kuongeza Damu (Madini Chuma) katika cha Ujauzito.
Mjamzito anapotumia Madini Chuma yanaweza yasifyonzwe vizuri kwenye mfumo wa chakula yanapotoka kwenye choo huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi.

2. Matumizi ya Dawa za kupunguza maumivu ya kiungulia.
Matumizi ya Dawa za kupunguza kiungulia mfano; Aluminium hydroxide au Magnesium hydroxide huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito.

3. Matumizi ya baadhi ya vyakula mfano blueberries, Chocolate na Vyakula vingine ambazo vimeongezwa rangi huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito.

4. Magonjwa ya mfumo wa chakula, Mjamzito mwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila kutibiwa, vidonda huweza kutoka Damu ambayo huweza kupelekea Mjamzito kupata Choo cheusi katika kipindi chochote cha Ujauzito.

5. Kutokwa Damu sehemu ya juu ya mfumo wa chakula (Upper GI bleeding), Mjamzito ambaye amepasuka sehemu ya chini ya Koo la chakula kutoka na kutapika Sana huweza kupata Choo cheusi katika kipindi cha Ujauzito.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...

#drmwanyika
#mamaafya
#ChooCheusi

JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

5 операций, которые я, как врач, НИКОГДА бы не сделал! / Вы ПОЖАЛЕЕТЕ об ЭТИХ операциях!

5 операций, которые я, как врач, НИКОГДА бы не сделал! / Вы ПОЖАЛЕЕТЕ об ЭТИХ операциях!

Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?

Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?

1 ложка перед сном — и кишечник очищается сам. Ошибка, которую делают после 50

1 ложка перед сном — и кишечник очищается сам. Ошибка, которую делают после 50

JANUARY FASTING - KUHARIBU NGUVU ZA MAGONJWA YA KURITHI - DAY 17 - IBADA YA JUMAMOSI

JANUARY FASTING - KUHARIBU NGUVU ZA MAGONJWA YA KURITHI - DAY 17 - IBADA YA JUMAMOSI

NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!.

NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!.

Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na nini? | Mambo gani hupelekea Maumivu ya Tumbo??

Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na nini? | Mambo gani hupelekea Maumivu ya Tumbo??

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Mambo 15 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kubeba Mimba/Ujauzito 2026 Kwa Mama Yoyote!

Mambo 15 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kubeba Mimba/Ujauzito 2026 Kwa Mama Yoyote!

LOVE OR POP TANZANIA 🇹🇿 VERSION | S01EP14- PART 01 | WITH GLADNESS KIFALUKA

LOVE OR POP TANZANIA 🇹🇿 VERSION | S01EP14- PART 01 | WITH GLADNESS KIFALUKA

Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).

Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.

Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.

DUNIA (Ep 66)

DUNIA (Ep 66)

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Po to odebrali śledztwo Ewie Wrzosek, aby je teraz dalej skręcać? Fakty porażają.

Po to odebrali śledztwo Ewie Wrzosek, aby je teraz dalej skręcać? Fakty porażają.

PROF. GÓRALCZYK: VIKTOR ORBAN STRACIŁ RZĄD DUSZ, WĘGROM DOSKWIERA BIEDA. WYBORY ZAGROŻONE! #Węgry

PROF. GÓRALCZYK: VIKTOR ORBAN STRACIŁ RZĄD DUSZ, WĘGROM DOSKWIERA BIEDA. WYBORY ZAGROŻONE! #Węgry

Prawdziwy Powód, Dlaczego Psy CIĘ LIŻĄ (Szokujące!)

Prawdziwy Powód, Dlaczego Psy CIĘ LIŻĄ (Szokujące!)

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com