LIVE# MISA TAKATIFU NADHILI ZA KWANZA KWA WANOVIS 12- TOSAMAGANGA JIMBO LA IRINGA
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 1660
Karibu ushiriki katika Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya Nadhiri za kwanza kwa Wanovisi 12 wa shirika la Masista wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu Jimbo la Iringa.
Misa hii inaadhimishwa na mhashamu Godfrey Mwasekaga Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu Katoliki Mbeya, Pia Maaskofu washiriki yupo Mhashamu Romanus Mihali Askofu wa Jimbo la Iringa na Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa Askofu mstaafu wa Jimbo la Iringa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: