WASTAAFU KUNDI MAALUM WA WIZARA YA FEDHA WATAHADHRISHWA KUWA MAKINI NA UTAPELI
Автор: Ndalini Media Solution Limited
Загружено: 2025-07-08
Просмотров: 40
Wizara Ya fedha kupitia kitengo cha huduma za mfuko mkuu, imewasihi wastaafu wanaolipwa na Hazina kuwa makini dhidi ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu kwa kujifanya ni matumishi wa Hazina na pindi wanapopata ujumbe kwa njia za simu wa kuwataka kuhakiki taarifa zao, kutozijibu kisha kuwasiliana na Mamlaka za serikali ikiwemo Jeshi la polisi dhidi ya watu hao
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: