A-Z KUHUSU KILIMO CHA CHIKICHI NA UZALISHAJI WA MAFUTA KIBIASHARA
Автор: AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 273
Kilimo cha zao la chikichi kitakupa faida nyingi ikiwemo uzalishaji wa mafuta ya mawese na mise; kokwa lake hutumika kutengeneza mkaa na huku matawi yake yakitumika kwa ajili ya ujenzi na kuni. Kupitia video hii utajifunza mengi kuhusu kilimo hiki cha chikichi ambacho kinatoa fursa ya kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta nchini.
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: