Waziri Aden Duale awashtumu wanaosambaza habari za uongo kuhusu msitu wa Karura
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-11-23
Просмотров: 2921
Waziri Wa Mazingira, Aden Duale, Amewashutumu Watu Wanaosambaa Habari Za Uongo Kuhusu Msitu Wa Karura. Duale Akizuru Eneo Hilo Na Kusema Kuwa Tetesi Ambazo Zimekuwa Zikiendelea Kuhusu Kuvamiwa Kwa Msitu Huu Na Baadhi Ya Watu Wanaokata Miti Hazina Ukweli. Ben Kirui Alikuwepo Na Anaarifu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: