MAJIMBO YA MBEYA,UKONGA NA DODOMA YAGAWANYWA,TUME YATOA SABABU HIZI
Автор: HABARI PLUS TV
Загружено: 2025-05-12
Просмотров: 38
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanzisha majimbo mapya nane na kubadilisha majina ya majimbo 12 ya uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo tarehe 12 Mei, 2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amesema Tume imefikia uamuzi huo baada ya kupitia maombi kutoka kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: