KONGAMANO LA VIJANA KITAIFA - MBEYA (DAY 1) : Ask. Mkuu Nyaisonga awasili
Автор: Ncatholics Tv
Загружено: 2025-08-20
Просмотров: 1069
Askofu mkuu Gervas Nyaisonga wa jimbo la Mbeya amekuwa miongoni mwa viongozi wakubwa wa kanisa waliohudhuria uzinduzi wa Kongamano la sita la vijana la kitaifa ambalo limeanza rasmi leo katika viwanja vya chuo kikuu cha katoliki Mbeya (CUoM).
Mhashamu Nyaisonga ndiye mwenyeji wa kongamano hili linalotarajia kuimarisha sana utume wa Vijana (VIWAWA) jimboni Mbeya na Metropolitani nzima, licha ya kuimarisha mshikamano wa utume huo nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: