Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

Автор: Wizara ya Afya Tanzania

Загружено: 2018-02-28

Просмотров: 4365

Описание:

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kuwa na watoa huduma wa Afya ngazi ya jamii (CHWz) Zaidi ya 30,000 ifikapo mwaka 2020 katika vijiji Zaidi ya 15,000 nchini.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu katika Mkutano wa Wadau wa Afya, mashirika yasiyo Yakiserikali, na Serikali katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
“Tunataka itakapofika mwaka 2020, tuwe na angalau Wahudumu wa Afya zaidi ya 30,000 katika vijiji Zaidi ya 15,000 tulivyonavyo Tanzania, Eneo hili tumeliona ni eneo muhimu kwasababu tutapata matokeo ya haraka, ni bora kutumia Bilioni 40 kwa ajili ya kinga ya magonjwa kwa Watanzania .” Alisema Mhe. Ummy Mwalimu.
Mhe. Ummy alisema kuwa lengo la Mkutano huo ni kujadiliana na Wadau wa Maendeleo na Mashirika yasiyo Yakiserikali juu ya kuimarisha huduma ya Afya ya msingi hasa katika kuwakinga wananchi dhidi ya maradhi kupitia mikakati ambayo inakubalika kimataifa ya kuwa na watoa huduma katika ngazi ya jamii.

SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

SHAJARA || Mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii na ufanisi wake

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MAWENZI - KILIMANJARO

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MALIPO YA WAFANYAKAXI WA AFYA NGAZI YA JAMII CHW

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGWE

HISTORIA YAANDIKWA JIJI LA DAR/WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA MIL. 19

⚡ РЕШАЮЩАЯ ВСТРЕЧА для Украины в США! Документы готовы, переговорщики все согласовали

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

#LIVE KIKAO CHA WAZIRI WA AFYA NA WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA AFYA NCHINI

"CONFIDENCE YA MWANAUME NI PESA, RAIS ATUPE WIZARA ITAKAYODILI NA JINSIA YA KIUME" MSAMBATAVANGU

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE

СТАВКИ РАСТУТ! Если РФ НЕ СОГЛАСИТСЯ на МИР — TOMAHAWK едут в Украину! Встреча ЗЕЛЕНСКОГО И ТРАМПА

WAZIRI WA AFYA AWAONYA MATAPELI WATAKAOTAKA KUHARIBU MPANGO WA USALAMA WA AFYA KWA WANANCHI

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SUMBAWANGA - RUKWA

IFAHAMU TOSAMAGANGA MPYA_ 2024....tosamaganga documentary_Official_ video

RISALA YA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII CHVs KWA DKT MWINYI

LIVE: BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/25 IKISOMWA MUDA HUU

UZINDUZI WA MPANGO WA KITAIFA WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZANZIBAR.

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA LINDI

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]