Jinsi ya Kufanya IELTS/TEF Canada Step by Step Ukiwa East Africa ili upate kazi Canada 🇨🇦
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-06-24
Просмотров: 8218
Unatafuta kazi au kuhamia Canada ukiwa East Africa?
Katika video hii, naelezea kwa hatua kwa hatua jinsi ya kufanya IELTS General Training au TEF Canada ukiwa katika nchi kama Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na zingine.
Utaelewa:
✅ Nini maana ya IELTS & TEF
✅ Tofauti zao
✅ Wapi unafanya test hizi Afrika Mashariki
✅ Jinsi ya kujisajili mtandaoni
✅ Gharama
✅ Tips za kufaulu
Hizi tests ni muhimu kwa:
🔹 Work visa Canada
🔹 Express Entry
🔹 Permanent Residence (PR)
🔹 Kazi za LMIA Canada
📌 Tovuti muhimu:
IELTS: https://ielts.britishcouncil.org
TEF Canada: https://www.lefrancaisdesaffaires.fr
📲 Subscribe kwa video zaidi kuhusu jinsi ya kuhamia Canada ukiwa Afrika bila agent, bila stress.
🔔 Usisahau kubonyeza kengele ili upate updates mpya kila wiki!
#IELTSCanada
#TEFCanada
#EastAfricaToCanada
#CanadaJobs
#IELTSPreparation
#WorkInCanada
#ImmigrationCanada
#CanadaVisa2025
#CanadaPR
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: