JINSI YA KUPIKA ROJO LA BIRYAN LENYE LADHA
Автор: Meju Mapishini
Загружено: 2025-02-06
Просмотров: 149
MAHITAJ
Nyama nusu
Maziwa mala 500ml
Mafuta ya kupikia
Chumvi kijiko 1
Paprika kijiko 1
Tangawizi mbichi 1
Vitunguu maji 2
Tembe 5 za kitunguu saum
Kijiko 1 cha curry and spicy masala
Curry powder kijiko 1
Pilipili manga kijiko 1
Beef masala kijiko 1
Ukwaju
Pilipili mbichi za kuwasha
MATAYARISHO
Angalia video kutoka mwanzo hadi mwisho. Asanteni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: