MNADA KOROSHO: Newala, Tandahimba wachekelea
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2016-10-20
Просмотров: 7688
Wakulima wa zao la korosho katika wilaya za Newala na Tandahimba mkoani Mtwara wameendelea kuuza korosho zao kwa bei juu baada ya kupanda kutoka Sh 3,670 hadi kufikia Sh 3,810 kwa msimu huu wa mwaka 2016/17.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: