Siri Nzito Katika Eid ya Kuchinja Kwa Waislam | Sheikh Kishk
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 28540
Siri Nzito Katika Eid ya Kuchinja Kwa Waislam | Sheikh Kishk
Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ambiyaa Temeke Tarehe 29/05/2025 , Mada ikielezea Eid ya kuchinja kwa nini tunachinja. Ukweli wote utaupata ndani ya Khutba hii. Inshaallah tusikilize hadi mwisho tupate kuelimika, Tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni Inshaallah.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: