Adhama Group - Saa ya Wokovu (Official video)
Автор: LIFE BRIDGE PENTECOSTAL CHURCH TANZANIA (LPCT)
Загружено: 2023-03-19
Просмотров: 420
Karibuni kanisani BCIC Majimeupe linalopatikana Mbagala Majimatitu, somo likiwa ni 'AHADI NI USHINDI WAKO' likihubiriwa na Askofu Michael Peter Imani.
BIBLICAL COUNCELING AND INTERCESSION CENTER (BCIC) MAJIMEUPE)
Ni kanisa linalopatikana Dar es Salaam, Tanzania mahali panapojulikana kama Mbagala Majimatitu kwenye barabara inayoelekea Chamanzi na Mbande. Kanisa la Kiroho likiongozwa na Askofu Michael Peter Imani likiwa na lengo ama dhumuni la kuleta watu kwa Kristo Yesu na kueneza neno la Yesu Kristo kwa mataifa yote kwa kuwa Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu Luka 1:37
Wasiliana nasi kwa simu namba;
0623 600 681
0658 379 076
0713 158 967
o Instagram at / bcic_majime. .
o Facebook at / bcic.majimeupe
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: