Jifunze Katekesi (Katekisimu)
Jifunze Katekesi ni channeli kwa ajili ya mafundisho mbalimbali ya kikiristo.
Channeli hii itakuletea:
1. Mafundisho mbalimbali kadiri ya katekesi
2. Mafundisho mbalimbali kadiri ya Sheria Kanoni
3. Mafundisho mbalimbali yaliyo Msingi wa imani katoliki (Dogmas)
4. Historia ya kanisa
5. Mababa wa kanisa
Kwa wakristo wa katoliki itawasaidia kuwajuza na kuwakumbusha mafundisho msingi waliyoyapata wakati wa mafundisho ya:
1. Ubatizo
2. Komunyo ya kwanza
3. Kipaimara
4. Ndoa
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Karibu sana KWA KUSUBSCRIBE ili uweze kupata maarifa kuhusu Imani Yetu Katoliki
HII HAPA RANGI INAYOTUMKA DOMINIKA YA TATU YA MAAJILIO (DOMINICA GAUDETE)
RANGI KUU NNE ZA KILITURUJIA
HII NI KWARESMA: JE, UMESAHAU NAMNA YA KUUNGAMA KWA PARDI? TAZAMA HII
KWANINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI (SABATO)
SINODI MAANA YAKE NINI?
MUNGU ALITUUMBA ILI TUMJUE, TUMPENDE, TUMTUMIKIE, TUPATE KUFIKA KWAKE MBINGUNI.
ZIJUE SAKRAMENTI ZA KANISA KATOLIKI
HII HAPA MITAGUSO YOTE MIKUU YA KANISA KATOLIKI KUANZIA MWAKA 325 -1965
MTAGUSO MKUU NI NINI? HUFANYIKA BAADA YA MUDA GANI? TUNAYO MITAGUSO MINGAPI MPAKA SASA?