KWANINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI (SABATO)
Автор: Jifunze Katekesi (Katekisimu)
Загружено: 2022-05-05
Просмотров: 10163
“Ishike siku ya sabato uitakase, kama Bwana Mungu wako alivyokuamuru, (Kumb.5:12).” Katika siku hii ya SABATO, wayahudi hawakuruhusiwa kufanya kazi yoyote, wala kusafiri umbali mrefu (kumb.5:14…lakini siku ya saba ni SABATO ya Bwana Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yoyote). Wayahudi waliiheshimu sana siku ya SABATO kwa kuwa hata Mungu alistarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi, akaibariki na kuitakasa (Mwa.2:2,3).
#kanisakatoliki #kristo #katekeseimankatolik #mafundisho #ecumenical #sakramenti
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: