HADAA YA KUZIMU SHAKAHOLA: Wafuasi wa mhubiri tata Paul Mckenzie waliishi msituni miaka 2 [Part 1]
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-01-17
Просмотров: 33136
Wafuasi wa mhubiri tata Paul Mackenzie waliishi msituni kwa miaka miwili kabla ya imani potovu ya kufunga kula na kunywa kung’oa nanga. Uchunguzi wa polisi ukibaini jinsi makaburi ya halaiki yalipangiwa njama na siri ya mazishi kupitia imani potovu msituni Shakahola. Francis Mtalaki anatupeleka katika kambi ya mauwaji ya Shakahola sehemu ya pili ya makala maalum ‘Hadaa ya Kuzimu.’
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: