🔴LIVE: Uzinduzi wa mfumo wa usimamizi wa mashauri ya usuluhishi na uamuzi (E-UTATUZI).
Автор: Nukta TV
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 132
Tupo mbashara tukikuletea matangazo kutoka Jengo la PSSSF Millennium Tower, Dar es Salaam, ambako leo Januari 21, 2026, kunafanyika hafla ya uzinduzi wa kuanza kwa matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mashauri ya Usuluhishi na Uamuzi (e-Utatuzi).
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu.
Soma: https://nukta.co.tz/
Twitter: / nuktatanzania
Facebook: / nuktatanzania
Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: