NAAHIDI MONDULI ITAKUA YA KWANZA KUMPA RAIS SAMIA KURA ZA USHINDI MHE.ISACK COPRIANO.
Автор: OBAMA MEDIA
Загружено: 2025-10-28
Просмотров: 227
Leo tar.28/10/2025 Mbunge mteule wa Jimbo la Monduli Mhe.Isack Copriano aahidi mbele ya Waziri mkuu mstaafu Mhe.Fredrick Sumaye kua kura za USHINDI za Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan zitakua zakutosha kwa Jimbo la Monduli Huku waziri mkuu mstaafu Mhe.Fredrick akihitimisha shughuli za kampeni katika uwanja wa Barafu Mto wambu Wilayani Monduli.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: