MAJI YAPATIKANA LEMOOTI, MBUNGE MTEULE ISACK JOSEPH CAPRIANO AMSHUKURU RAIS SAMIA.
Автор: OBAMA MEDIA
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 410
Kupitia wafadhili washirika la International ministry of Jesus Mbunge mteule wa Jimbo la Monduli Mhe. Isack Joseph Capriano amewahukukuru wafadhili hao kwa kuwachimbia maji kutoka ardhini kitu ambacho wananchi walikua wakiteseka kwa muda mrefu.
Aidha Mhe. Isack amemshukuru Rais Samia kwa namna alivyo sumisha amani mapaka kuweza kupata wafadhili wa mashirika mbalimbali kwenye kila kona ya Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: