Sakata ya Magari ya Wizi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2013-08-21
Просмотров: 185095
Baada ya maafisa wa polisi kupata magari kumi na nane katika boma la mshukiwa huko Mountain View, uchunguzi wa kisa hicho cha wizi umeng'oa nanga baada ya magari hayo kupelekwa katika kituo cha polisi cha Kabete . Kuna wengi ambao walijitokeza kuthibitisha iwapo magari yao yako miongoni mwa magari yaliopelekwa kituoni. Mwabahabri wetu Macharia Mwangi ana anataarifu hiyo kwa kina.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: