MBINU 5 ZINAZOSAIDIA KUONGOZA KWAYA YA WATU WAZIMA-Mwl DR Enock Zabron
Автор: Enock Zabron Mahega
Загружено: 2024-01-10
Просмотров: 800
Ziko taratibu/mbinu zilizowekwa mahali mahali kusaidia kuongoza kwaya ya watu wazima baadhi yake zimekuwa zenye kuchoshwa na kudhalilisha lakini zikiwa na lengo la kumsaidia mwanakwaya na mwalimu kuongoza kwaya ya watu wazima.Leo nitakuonyesha mbinu rafiki kabisa zinazosaidia kuiongoza kwaya ya watu wazima kwa njia rahisi na ya upendo.
Call
+255768652134
[email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: