MFUGAJI ANAEMILIKI NG'OMBE ANAETOA MAZIWA HADI LITA 3O KWA SIKU NA ANAKAMUA MARA 3, ANAWALISHA....
Автор: Rubaba Tv
Загружено: 2022-12-22
Просмотров: 8622
#trending
Pamoja na kua na mbegu bora inayotoa maziwa mengi, ni jambo muhimu sana kuweza kuwapatia chakula bora Ng'ombe wako ili waweze kutoa maziwa mengi. Mzee kwezi ni mfugaji kutoka mwanza ambaye yeye anawalisha chakula bora sana ng'ombe wake. na mmoja anaweza kutoa hadi lita 30 za maziwa kila siku.
--------------------------
CONTACT US
EMAIL: [email protected]
PHONE: +255(0) 764148221
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: