ENUGU RANGERS vs YANGA
Автор: Tulipotoka Zamani
Загружено: 2022-07-07
Просмотров: 213
Hii mechi ilikuwa ya raundi ya pili ya klabu bingwa ya Afrika kati ya Enugu Rangers ya Nigeria (Hao wenye jezi nyeupe) na Yanga ya Tanzania (Wenye jezi za njano). Mchezo ulifanyika tarehe 10 Mei 1975 katika uwanja wa taifa wa Surulere jijini Lagos nchini Nigeria ambapo uliisha kwa suluhu ya 0 - 0. Mchezo wa marudiano ulifanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar Es salaam nchini Tanzania ambapo walitoka sare ya 1 - 1. Enugu Rangers walifanikiwa kusonga mbele kwenda robo fainali.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: